Aina Za Umiliki Wa Biashara

  • Not Rated
Podcast price
Free

Project Description

No.3-Aina Za Umiliki Wa Biashara. Leo tunaye mtaalamu wa masuala ya biashara ambaye atatueleza aina za biashara -- na jinsi ya kujasili biashara yako. Jiunge na Mzee Majiko, kwenye safari hii muhimu itakayokuwezesha kuwa mfanyibiashara mashuhuri wa kutengeneza na kuuza majiko ya kisasa. Mfululizo huu wa ushauri wa biashara ya ICS umeletwa kwako na shirika la PRACTICAL ACTION. Hiki ni kipindi nambari tatu (3) katika vipindi ishirini (2) zilizo simuliwa kwa Kingereza na Kiswahili hapa FULULIZO CHANNEL.

Download now: click below