Jinsi Ya Kuongeza Mauzo

  • Not Rated
Podcast price
Free

Project Description

No.5-Jinsi Ya Kuongeza Mauzo. Hii leo tunaangazia kuongeza mauzo ya biashara kupitia zabuni (tender) au mauzo ya wingi kwa mara moja. Jiunge na Mzee Majiko, kwenye safari hii muhimu itakayokuwezesha kuwa mfanyibiashara mashuhuri wa kutengeneza na kuuza majiko ya kisasa. Mfululizo huu wa ushauri wa biashara ya ICS umeletwa kwako na shirika la PRACTICAL ACTION. Hiki ni kipindi cha tano katika vipindi kumi zilizo simuliwa kwa Kingereza na Kiswahili hapa FULULIZO CHANNEL.

Download now: click below