Kudhibiti Madeni na Fedha

  • Not Rated
Podcast price
Free

Project Description

No.9-Kudhibiti Madeni na Fedha. Upangaji wa fedha na madeni ya biashara ni muhimu sana kwa unendelezaji wa biashara yako. Jiunge na Mzee Majiko, kwenye safari hii muhimu itakayokuwezesha kuwa mfanyibiashara mashuhuri wa kutengeneza na kuuza majiko ya kisasa. Mfululizo huu wa ushauri wa biashara ya ICS umeletwa kwako na shirika la PRACTICAL ACTION. Hiki ni kipindi nambari tisa (9) katika vipindi ishirini (20) zilizo simuliwa kwa Kingereza na Kiswahili hapa FULULIZO CHANNEL.

Download now: click below