Kwanini Biashara Ya ICS

  • Not Rated
Podcast price
Free

Project Description

Kipindi Na. 1. Jiunge naye "Mzee Majiko" kwenya safari itakayokuwezesha kuwa mfanyibiashara mashuhuri wa kutengeneza na kuuza majiko ya kisasa au kwa Kingereza, Improved Cookstoves (ICS). Mfululizo huu wa ushauri wa biashara ya ICS umeletwa kwako na shirika la PRACTICAL ACTION. Hiki ni kipindi nambari moja (1) katika vipindi ishirini (20) zilizo simuliwa kwa Kingereza na Kiswahili hapa FULULIZO CHANNEL.

Download now: click below